Monday, March 26, 2012

Kumbukumbu ya band ya shule Liwale Mkoani LindiViongozi wa band ya shule wakiongoza wenzao kuingia madarasani huku wakipita kwa ukakamavu mbele ya ofisi ya mwalimu mkuu.


Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Magereza wilayani Liwale wakiwa kwenye gwaride la kuingia madarasani baada ya chakula cha mchana.Shule hii imepeleka wanafunzi wote sekondari (ufauru ni asilimia 100).
Picha na Vicent Mnyanyika-HakiElimu

1 comments:

dah, kiukweli hali ya elimu huko vijijini inasikitisha. viongozi wetu wamejisahau kabisa, me nadhani wanahitaji kukumbushwa,

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More