Dhamira na Dira

Dhamira/Mission
HakiElimu inafanya kazi ili kuleta usawa, ubora, haki za binadamu na demokrasia katika elimu kwa kuziwezesha jamii kubadilisha mifumo ya uendeshaji wa shule, kuwa na ushawishi kwenye  utungaji wa sera, kuhamasisha majadiliano makini  ya umma, kufanya tafiti na kushirikina na wadau wengine kutetea usawa na maslahi ya walio wengi.


Dira/Vision
Dira ya HakiElimu ni kuiona Tanzania ambayo watoto wote wanapata haki yao ya elimu bora ya msingi, ambapo shule zinaheshimu utu na haki za binadamu,ambapo elimu inakuza usawa,ubunifu,udadisi na demokrasia.

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More