Sunday, November 6, 2011

Samani za kisasa Maktaba ya Shule ya Msingi MwisengeSamani zilizomo ndani ya maktaba hiyo kabla ya kuwekwa vitabu.Maktaba hiyo imejengwa na kuwekwa samani pamoja na vitabu na shirika la HakiElimu ikiwa ni njia mojawapo ya kumuenzi baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere.

Muonekano wa pembeni ndani ya maktaba ya Shule ya Msingi Mwisenge.Mwl Nyerere alisoma shule hii.


Maktaba inavyoonekana kwa nje


Nukuu ya maneno ya Mwalimu Nyerere kuhusu elimu ikiwa ndani ya maktaba

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More