Thursday, September 8, 2011

YALIYOJIRI KATIKA ELIMU MAGAZETINI WIKI HII

Kwa habari za wiki nzima tembelea: http://www.hakielimu.org/index.php?option=com_rubberdoc&view=category&id=19&Itemid=73


HakiElimu imekua ikifanya ufuatiliaji wa habari za elimu zinazotoka kwenye magazeti mbalimbali hapa nchini.

Habari nyingi za elimu zilizopewa nafasi katika magazeti yaliangazia changamoto zinazoikabili sekata ya elimu na mazingira ya kujifunzia katika shule za msingi nchini.Pia matatizo ya walimu ikiwa ni pamoja na madai ya malipo ya stahili na mishahara ya walimu, mafunzo ya walimu kazini, msongamano wa wanafunzi madarasani.

Pia michango mbalimbali na juhudi za wazazi za kuchangia elimu ikiwa pamoja na ujenzi wa madarasa na nyumba za walimu na kikubwa zaidi mtihani wa darasa la saba uliomalizika siku ya Alhamisi 8/09/2011.


0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More