Wednesday, September 28, 2011

Washindi 62 wa shindano la Insha watangazwa na HakiElimu


Hiyo ndiyo taarifa rasmi kutoka HakiElimu ikiwatangaza washindi wa shindano la insha lenye kichwa cha habari "Mwanafunzi bora anapaswa kuwa na sifa gani muhimu?"


HakiElimu inawapongeza washiriki wote walioshiriki shindano hilo na kwa njia ya pekee kabisa inawapongeza washindi wote 62.

2 comments:

Hongereni sana washindi pamoja na HakiElimu

Tunaomba mtoa majina ya wale 50 wa zawadi za radio , huenda ikawa na mimi nikajishindia

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More