Tuesday, September 6, 2011

Walemavu na Changamoto Nyakati za Mitihani ya Taifa

Wanafunzi wenye ulemavu wa macho wa shule ya msingi Ruhila ya mkoani Ruvuma wakiwa darasani.Kesho wanafunzi zaidi Milioni Moja miongoni mwao wanafunzi 96 wenye ulemavu wataanza mtihani wa taifa wa kumaliza elimu ya msingi nchini kote.


wanafunzi wenye ulemavu wa macho wakiwa darasani

Mwanafunzi (Mlemavu wa macho) akisoma maandishi yaliyoandikwa na mashine maalum ya wasioona

Darasani

Wafanyakazi wa HakiElimu wakiwa kwenye darasa la walemavu wa macho shule ya msingi Ruhila wakipata maelekezo kutoka kwa mwalimu.

Picha zote na Edwin Mashasi

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More