Wanafunzi wa shule ya Msingi Kiongera kata ya Susuni wilayani Tarime wakiwa wamebeba mahindi kwenye mashati na sketi za shule kutoka shambani ambako waliamliwa kuvuna mahindi.
Tuesday, September 13, 2011
Utumikishwaji wa wanafunzi, wanatendewa haki?
Posted in:
0 comments:
Post a Comment