Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr James Nsekela akiingia katika ukumbi wa Royal Village Mjini Dodoma tayari kwa kufungua mkutano wa mwaka wa marafiki wa elimu.Pamoja nae Kulia ni Mkurugenzi wa HakiElimu Elizabeth Missokia,Rafiki wa elimu Bi Philipina Labia, Rev Samiaeli Mteri,Meneja wa Idara ya Ushiriki wa Wananchi Pius Makomelelo na meneja wa idara ya upatikanaji taarifa Bwana Robert Mihayo
Picha ya pamoja marafiki wa Elimu, Mkurugenzi wa HakiElimu Elizabeth Missokia na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr James Nsekela
Thursday, September 1, 2011
Matukio katika Picha:Mkutano wa Marafiki wa Elimu Dodoma
Posted in: Marafiki
0 comments:
Post a Comment