Monday, September 26, 2011

Mahafali ya kidato cha nne Jitegemee sekondari na furaha za wanafunzi

wanafunzi wa kidato cha nne wakiwa kwenye mstari kuelekea uwanja wa mahafali yao ya kumaliza kidato cha nne 2011.


Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari ya Jitegemee wakiwa kwenye uwanja wa wazi wakimsikiliza mgeni rasmi ambaye ni Dr Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi

Wanafunzi wakifurahia siku yao ya mahafali muda mfupi baada ya mgeni rasmi kuondoka eneo la tukio.

Wakisubiri kuitwa na kutunukiwa vyeti vya kumaliza kidato cha nne
0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More