Wednesday, September 7, 2011

Kila la heri darasa la saba mnapoanza mitihani yenu leoLeo wanafunzi wa darasa la saba nchini kote wameanza mitihani ya kumaliza elimu ya msingi ambapo wanafunzi takribani milioni moja wanafanya mtihani huo maeneo mbalimbali nchini.

HakiElimu inawatakia mtihani mwema.


Picha kwa hisani ya wavuti0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More