Wednesday, September 28, 2011

Faustine Muzambele na Dorice Paul videdea wa shindano la Insha la HakiElimu

Meneja wa idara ya upatikanaji taarifa (HakiElimu) Robert Mihayo akiwatangaza Faustene Muzambele na Dorice Paul kuwa washindi wakuu wa shindano la Insha la HakiElimu lililokua na kichwa cha habari 'Mwanafunzi bora anapaswa kuwa na sifa gani muhimu?' ambapo washindi hao wawili wamezawadiwa kitita cha shilingi laki tano kila mmoja.


Washindi kumi wengine watapewa shilingi laki mbili na redio moja kila mmoja.
pia wapo washindi wengine 50 watakao zawadiwa redio kila mmoja.Idadi hii inafikisha washindi 62 kwa ujumla wao.

Meneja wa idara ya habari Nyanda Shuli akifafanua jambo wakati HakiElimu inatangaza washindi wa Insha

wana HakiElimu wakiendelea na mkutano na waandishi wa Habari

Wanahabari wakisikiliza orodha ya washindi wa shindano la Insha kutoka HakiElimu


Picha na E.Mashasi

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More