Thursday, September 1, 2011

Shule za Kata na changamoto zake

Hii ni mojawapo ya changamoto zinazopatikana katika shule za kata kwani lugha mara nyingi ambazo wanafunzi wanatumia huwa ni za makabira yao badala ya kiswahili na Kiingereza ambazo ndizo lugha zinazotumika kufundishia darasani.Bango hili lilikutwa katika shule ya sekondari Changaa ya wilayani Kodoa, Mkoani Dodoma.Picha kwa hisani ya Marafiki wa Elimu Dodoma blog
Maabara ya shule ya sekondari Changaa ambayo mbali na changamoto za miundombinu na vifaa vya kufundishia, shule hii ina walimu watatu wa kuajiriwa.0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More