Monday, August 22, 2011

Taswira katika Elimu


Wanafunzi wa shule ya Msingi Kana ya jijini Tanga wakivuka barabara mara baada ya kutoka shule.shule hiyo ipo jirani na barabara ambapo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza ni hatari sana kuvuka.Wanafunzi wa kana shule ya msingi wakitembea kando ya barabara baada ya kutoka shule nyakati za mchana.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More