Tuesday, August 23, 2011

Shule zenye Michepuo ya kilimo


Wanafunzi wakilima kwenye shamba la shule

Kwenye mitaala ya shule za msingi kulikua na masomo ambayo yalikua yanamuandaa mwanafunzi kujitegemea pindi amalizapo masomo, masomo kama kilimo,ususi,ushonaji nguo na uselemala yalifundishwa kwa vitendo na wanafunzi walimaliza shule wakiwa wanayajua vyema. Mwanafunzi hata asipoendelea na elimu ya sekondari alikua anaweza kujiajili katika nyanja za kilimo na ufundi.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More