Hii ndiyo njia yangu ya kila siku.Hii ni wilaya ya kilosa mkoani Morogoro
safari ikiendelea
Mwanafunzi akivuka maji huku viatu vikiwa vimetangulizwa ng'ambo ya pili
Hili ndilo korongo ambalo wanafunzi hupita katika safari yao ya kila siku wakielekea shule
Korongo hili ni hatarishi kwa usalama wa mwanafunzi
0 comments:
Post a Comment