Tuesday, August 9, 2011

Kujiamini huanza hivi

Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Mtejeta wilayani mpwapwa mkoani Dodoma,William Norol akichangia mada wakati wa kongamano la miaka 50 ya uhuru lililofanyika ukumbi wa chuo cha ualimu wilayani mpwapwa juzi.Picha kwa hisani ya gazeti la mwananchi

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More