Tuesday, July 5, 2011

Mwana HakiElimu auaga ukapela

Silvand Jeremia na Mkewe Mecky wakiwa nje ya kanisa kuu la mtakatifu Joseph lililoko posta jijini Dar es Salaam mara baada ya kufunga pingu za maisha.Bwana harusi ni mfanyakazi wa HakiElimu na bibi harusi ni askari wa usalama barabarani.


Sylvand akicheza mziki na wafanyakazi wenzake wa HakiElimu.

1 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More