Friday, June 3, 2011

Wanafunzi wa Dar es Salaam katika wiki ya unywaji maziwa


Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi za Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam wakiandama kwenye barabara ya Kawawa kuadhimisha kilele cha wiki ya uhamasishaji unywaji wa maziwa

Picha zote na Zacharia Osanga

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More