Wednesday, June 15, 2011

Upendo wa dhati kwa HakiElimuMfanyakazi wa HakiElimu Sylvand Jeremia akiwa pembeni mwa kibao cha shule ya msingi Mabalanga iliyopo Kilindi.Serikali ya Kijiji kwa kusikia na kuona matangazo ya HakiElimu pamoja na harakati za kielimu zinazofanywa na shirika waliamua kuweka nembo ya HakiElimu kwenye kibao cha shule iliyoko kijijini kwao ikiwa ni kuonesha kuunga mkono harakati hizo.

Anna Rugaba nae alifanikiwa kuona kibao cha shule hiyo.
0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More