Uhaba wa madarasa; wanafunzi wa madarasa mawili tofauti wakiwa wamekaa kwenye chumba kimoja cha darasa ikiwa ndio njia mbadala ya kukabiliana na uhaba wa vyumba vya madarasa.Upande wa mbele ni darasa la 4 waliotupa mgongo ni darasa la 2. Hii ni Kwa hisani ya mpiga picha wa gazeti la mwananchi.
Friday, June 3, 2011
Tafakari na Chukua hatua
Posted in: Darasani
0 comments:
Post a Comment