Friday, May 20, 2011

Taswira katika ElimuMwanafunzi wa shule ya msingi Mkalapa iliyoko wilayani Masasi akichota maji kwaajili ya kunywa katika bomba lililokaribu na shule yao kama alivyokutwa na kamera ya HakiElimu.Shule nyingi hukabiliwa na ukosefu wa maji safi kwaajili ya matumizi ya shule pamoja na wanafunzi.

Magufuli amefika na hapa

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More