Monday, May 30, 2011

HakiElimu yatembelea baadhi ya shule mkoani MbeyaKaribuni shuleni kwetu Hayombo Sekondari hapa Mbeya; Mkurugenzi wa HakiElimu bi Elizabeth Missokia na Afisa katika idara ya Utetezi wakikaribishwa na Mwalimu wa shule ya sekondari Hayombo.


Wanafunzi wakiwasikiliza HakiElimu walipowatembelea shuleni kwao

wanafunzi wakiwasikiliza kwa umakini wageni wao kutoka HakiElimu


Mkurugenzi wa HakiElimu Elizabeth Missokia akiwagawia madodoso wanafunzi kwaajili ya kupata maoni yao juu ya mambo muhimu kwenye elimu nchini.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More