Wanafunzi wa shule ya msingi Buguruni wakionesha ubunifu kwa kutengeneza mfano wa shule yao.Elimu ya Tanzania inahitajika imwezeshe mwanafunzi ili akimaliza shule awe na uwezo wa kujitegemea na kutumia maarifa aliyoyapata kujiletea manufaa pamoja na kuibadirisha jamii inayomzunguka.
0 comments:
Post a Comment