Monday, April 4, 2011

Maktaba za Jamii ni tiba kubwa ya uhaba wa vitabu vya kiada na ziada mashuleni
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kwetui wilayani Lushoto wakijisomea katika Maktaba ya kijamii - Lushoto.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kwetui wilayani Lushoto wakijisomea katika Maktaba ya kijamii - Lushoto.


Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kwetui ndani ya Maktaba ya kijamii - Lushoto.Kwenye Mkutano na machapisho ya HakiElimu.Katibu na msimamizi wa Maktaba ya WEMA Ally Milanzi akipanga katiba ya Tanzania1 comments:

Hatua ya kuwa na Maktaba katika sehemu se vijijini ni msaada mkubwa kwa wanafunzi wanaosoma maeneo hayo. Hivyo nawapongeza HakiElimu kwa juhudi zao za dhati kusimamia na kuhamasisha wananchi kuweza kujenga maktaba ikiwa ni sehemu muhimu ya mwananchi kupata taarifa, ujuzi na mambo mbalimbali yanayoendelea kitaifa na kimataifa. kwa uzoefu wangu shule nyingi za kata na msingi hazina maktaba wanafunzi wanakosa sehemu ya kuweza kuongeza ufahamu wao hivyo ni vizuri Hakielimu ikaenda mpaka vijijini na kuhamasisha wanakijiji kujenga maktaba hizo kwa manufaa ya kwao na taifa kwa ujumla.

Nawapongeza sana

Ni mimi Mwanaharakati
E. Rwegasila
Bukoba

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More