Tuesday, March 29, 2011

Washindi wa shindano la insha ya maadili kuibuka na Sh Milioni 6.72 kutoka HakiElimu.Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu Robert Mihayo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Tafakari uliopo ndani ya ofisi za HakiElimu.Ndugu Mihayo alitangaza rasmi kuanza kwa shindano la insha kwa mwaka huu yenye kichwa cha habari 'Mwanafunzi bora ni nani?'. Pembeni ni meneja katika idara ya Habari Nyanda Shuli.
Meneja wa Idara ya habari Bw Nyanda Shuli akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari.Mchambuzi wa sera katika idara ya Uchambuzi wa Sera na Utetezi Bw Mtemi Zombwe akijibu hoja mbali mbali za waandishi wa habari juu ya umuhimu wa maadili kwa wanafunzi.


Mwandishi na mpiga picha wa Chanel Ten Faudhia Yusuph akirekodi tukio zima na kuhakikisha kuwa watanzania wanapata taarifa juu ya uzinduzi wa insha katika taarifa yao ya habari saa moja kamili jioni.


Mambo yalikua hivi ndani ya ukumbi.Picha zote na Vicent Mnyanyika

3 comments:

je wanafunzi wa vyuo vikuu tunaruhusiwa kushiriki?

Nataka kujua masharti ya kujiunga na shindano hili hasa kwa upande wa katuni na ni wapi kwa kupeleka maana hamjatoa hata adress emaili yangu ni cedgarjoel@yahoo.com

mchome st Augusine........hatukujulishwa kwmba tumeshinda au vipi!

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More