Tuesday, March 22, 2011

Sheria za wanafunzi kwenye mbao za matangazo mashuleni.....

Sheria za shule kama zilivyokutwa kwenye ubao wa matangazo ofisini kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mihumo iliyoko wilayani Liwale (Lindi).

Kwa mujibu wa sheria hizi, mwanafunzi akishindwa kuziheshimu na kuziishi adhabu yake ni kufukuzwa shule.

Walimu na wazazi leo hii wanalia na maadili ya wanafunzi mashuleni na hata majumbani.

Na hapo tunakumbuka usemi usemao "Samaki Mkunje angali mbichi"

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More