Monday, March 21, 2011

mtiririko wa matukio siku ya vijana katika viwanja vya HakiElimu


Mkurugenzi mtendaji wa HakiElimu Elizabeth Missokia akiongea na vijana katika viwanja vya HakiElimu..


Mshereheshaji naehakuwa mbali...

Meneja wa idara ya habari akiwapa neno vijana.


Pembeni msanii wa muziki wa kizazi kipya na wana HakiElimu..Deus Kibamba akiwasilisha mada.

mada zikiendelea kutolewa na meza kuu


wafanyakazi wa HakiElimu wakifuatilia kwa makini mada zilizokua zikitolewa.


0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More