Leo saa nne asubuhi kuna mkutano na waandishi wa Habari HakiElimu, lengo ni kuzindua shindano la insha lenye kichwa cha habari 'Mwanafunzi bora anapaswa kuwa na sifa gani muhimu?'
Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu Bwana Robert Mihayo atakua muongeaji mkuu katika tukio hilo.
tutawajuza yatakayojiri kwenye tukio hilo.
Monday, March 28, 2011
Mkutano na waandishi wa Habari unafanyika sasa hivi HakiElimu
Posted in: Press Conference
0 comments:
Post a Comment