Monday, March 21, 2011

Mkurugenzi wa HakiElimu akibadilishana mawazo na mwanaharakati maarufu Deus Kibamba

Mwanaharakati Deus Kibamba akibadirishana mawazo na mkurugenzi wa shirika la HakiElimu Bi Elizabeth Missokia siku ya vijana ikiwa mwendelezo wa sherehe za miaka 10 ya HakiElimu.sherehe hizo zilifanyika katika viwanja vya HakiElimu na vijana zaidi ya 100 toka shule za msingi, sekondari na vyuo walihudhuria.

Katika siku hiyo, Ndugu Kibamba alitoa maada kwa vijana juu ya vijana na maadili.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More