Wednesday, October 3, 2012

Jumbe mbalimbali za mabango kutoka kwa wadau kuhusu Elimu ya Awali



wanafanyakazi wa HakiElimu, wanafunzi wa awali pamoja na wadau wengine wameunga mkono kampeni iliyoanzishwa na HakiElimu yenye lengo la kuhamasisha uboreshwaji wa elimu ya awali nchini kwani elimu hiyo ndiyo msingi wa elimu nchini.

Wanafunzi wa Awali, Shule ya Msingi Mchangani Dar es Salaam

Vicent Mnyanyika kutoka idara ya Habari na Utetezi akionesha bango lake
Wanafunzi wa Awali, Shule Msingi binafsi ya Hady ya Arusha. wao wanaonesha darasa bora la Awali
Daniel Luhamo kutoka idara ya Fedha na Utawala ya HakiElimu anaunga mkono kampeni.













0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More