Miaka 10 ya HakiElimu

Mgeni rasmi katika sherehe za miaka kumi ya hakiElimu ambaye ni Mh. Samuel Sita

Young Boys Carrying Sand in a Pull Cart After Attending School

Young boys carrying sand in a pull cart after attending school to earn probably stationery money at Midizini area in Manzese

>Mathematicians in the Making....

Samia Tajiri(right)of Kiwalani Primary School in Dar es Salaam does her mathematics homework using bottle caps at a street side

Showing posts with label maandamano. Show all posts
Showing posts with label maandamano. Show all posts

Wednesday, February 8, 2012

Wanaharakati Dar wafunga barabara wakidai huduma za afya kurudishwa mahospitalini



Bwana Irinei Kiria akimueleza askari wa barabarani wa kituo cha daraja la salenda juu ya nia ya mtandao wa wanaharakati kufunga barabara ili kuishinikiza serikali kumaliza tofauti zake na madaktari ili kurudisha huduma za afya mahispitalini.

Madaktari kwa zaidi ya wiki moja sasa wamekuwa katika msuguano na serikali na hivyo kuamua kugoma na kusababisha kuzorota kwa huduma za afya katika hospitali za srikali ikiwemo hospitali ya Taifa ya Muhimbili.


Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Binadamu Bi Helen Kijo-Bisimba akiwa na bango lenye ujumbe kwa serikali ukimtaka rais Jakaya Kikwete kuwafuta kazi mara moja Waziri wa Afya na ustawi wa jamii Dr Haji Mponda, Naibu waziri wake Dr Lucy Nkya, katibu mkuu Blandina Nyoni na Mganga mkuu Dr Deo Mutasiwa kwa kushindwa kuzuia mgomo wa madaktari nchini.Aliyekaa katikati ni mkurugenzi wa Tamwa Ananilea Nkya na kushoto ni Anastazia Rugaba wa HakiElimu



Mabango zaidi



Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More