Miaka 10 ya HakiElimu

Mgeni rasmi katika sherehe za miaka kumi ya hakiElimu ambaye ni Mh. Samuel Sita

Young Boys Carrying Sand in a Pull Cart After Attending School

Young boys carrying sand in a pull cart after attending school to earn probably stationery money at Midizini area in Manzese

>Mathematicians in the Making....

Samia Tajiri(right)of Kiwalani Primary School in Dar es Salaam does her mathematics homework using bottle caps at a street side

Showing posts with label hakielimu. Show all posts
Showing posts with label hakielimu. Show all posts

Wednesday, June 15, 2011

Upendo wa dhati kwa HakiElimu



Mfanyakazi wa HakiElimu Sylvand Jeremia akiwa pembeni mwa kibao cha shule ya msingi Mabalanga iliyopo Kilindi.Serikali ya Kijiji kwa kusikia na kuona matangazo ya HakiElimu pamoja na harakati za kielimu zinazofanywa na shirika waliamua kuweka nembo ya HakiElimu kwenye kibao cha shule iliyoko kijijini kwao ikiwa ni kuonesha kuunga mkono harakati hizo.

Anna Rugaba nae alifanikiwa kuona kibao cha shule hiyo.








Wednesday, March 9, 2011

Miaka 10 ya HakiElimu

Mgeni rasmi katika sherehe za miaka kumi ya hakiElimu ambaye ni Mh. Samuel Sita






Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More