Tuesday, August 9, 2011

Mpango wa kutoa chakula mashuleni ni dawa ya utoro

Wanafunzi wa shule ya msingi Puma mkoani Singida wakila chakula cha mchana kinachotolewa na mpango wa chakula duniani kwa nia ya kuhamasisha wanafunzi kuhudhuria darasani na kuinua uwezo wao kielimu.Picha kwa hisani ya gazeti la Mwananchi

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More