Wanafunzi wa shule ya msingi Mvumi wakimfuatilia kwa umakini mwalimu wao akiwa anafundisha.Shule nyingi zimekua zikikabiliwa na uhaba wa madawati na hivyo kusababisha wanafunzi kukaa chini.
Friday, May 20, 2011
Je Mabadiliko gani yanahitajika kwenye shule zetu?
Posted in: Shule
0 comments:
Post a Comment