Pages
(Move to ...)
▼
Friday, November 16, 2012
Hali mbaya ya miundombinu ya shule wilayani Nyasa
Haya ni majengo ya vyumba viwili vya madarasa katika shule ya msingi Ndonga
iliyopo Kata ya Kihagara wilayani Nyasa katika mkoa wa Ruvuma, ambavyo viliezuliwa na
kubomoka tangu 2011,wanafunzi wamekuwa wakisoma huku wakipigwa na jua
na masomo husimama kipindi cha mvua
Mlundikano darasani, dawati linalopaswa kukaliwa na wanafunzi watatu ama wanne
linatumiwa na wanafunzi watano. Hii ni Shule ya Msingi Ndonga iliyopo wilayani Nyasa
Hiki ni choo cha walimu kama kinavyoonyeshwa na mwalimu
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment